Welcome, visitor! [ Register | LoginRSS Feed  |   | 

 

TShs. 18 mil.

6 ENEO LA UKUBWA 7,000sqm GOBA MPAKANI @ 18,000,000/1,000sqm.

  • Type: Plot
  • Street: Goba mpakani
  • City: Dar es Salaam
  • Superficy: 5 KM from Goba njia nne roundabout
  • E-mail: jaymboya@gmail.com
  • Phone: 0713480118
  • Listed: October 26, 2016 7:11 PM
  • Expires: This ad has expired
IMG-20161017-WA0027

Description

Eneo la ukubwa wa 7000sqm ndani ya goba mpakani, lipo sehemu inayofikika kirahisi kwa gari au kwa miguu, eneo lipo karibu na stendi ya mabasi yatokayo mbezi mwisho kwenda goba kupitia njia ya Tegeta A (kilomita 5.5 toka roundabout ya Goba njia nne). eneo liko sehemu tambarare na lina documents za serikali ya mtaa, eneo ni la ukubwa wa square meter 7000 na linakatwa katika viwanja sita vya ukubwa wa square meter 1000 kila kimoja na square meter 1000 zinazosalia zitatumika kweneye kuweka njia ili eneo liingilike kirahisi. Bei kwa kila ya kuanzia kwa kila square meter 1000 ni shilling 18 milioni…..(hii ni bei ya kuanzia but tunaweza kukaa meza moja na kujadili iwapo mtu atakuwa na chini ya hapo). na tunatoa muda kwa kila mteja wetu kufanya uchunguzi mdogo aidha kwa kuongea na majirani, kucheki na watu wa serikali ya mtaa au kutumia mbinu yoyote iliyo sahihi ili kujiridhisha na umiliki wetu juu ya eneo ili kuondoa doubt zozote zitakazopelekea kufanyika kwa vitendo vya utapeli. kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713480118.

Ad Reference ID: 279580f78f0335ae

No Tags

54 total views, 2 today

  

Report problem

Processing your request, Please wait....

Leave a Reply

To inquire about this ad listing, complete the form below to send a message to the ad poster.

LONELY HEARTS

NEW in DAR! Look for other people like you...Submit your personal profile by clicking here

Hit Counter provided by laptop reviews