NYUMBA MPYA, VYUMBA VINNE (4)-MBAGALA CHAMAZI
For Sale / Posted 4 months ago by Mohammed Bakari / 71 views / Popular
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
Umiliki ni Mkataba wa mauziano.
NYUMBA HII NI YA KUHAMIA TU.
_____________________
ANGALIZO:
Malipo ya dalali ni 10%
Uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
(Unalipa MNUNUZI, Ukijijua huwezi kumlipa dalali tafadhali usiwasiliane nami)
_____________________
Vyumba 2 Kati ya 4 vina Vyoo ndani.
Pia Kuna Sebule, Jiko Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Tiles, Gypsum, Slide windows na parking kubwa yenye paving Safi.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Bei Tshs..100 Milioni.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
- Listing ID: 53143