NYUMBA MPYA, VYUMBA VINNE(4) MBAGALA CHAMAZI.
For Sale / by Mohammed Bakari / 19 views / Popular
Mwendo wa Dakika 8 kwa miguu kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja SQM.400.
Umiliki Mkataba wa mauziano.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona Tshs.50,000.
(Unalipa MNUNUZI)
Wasilina nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________________
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba vinne vya kulala ambapo viwili vina Vyoo ndani.
Bei Tshs.48 Milioni.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
- Listing ID: 73742