NYUMBA NZURI YENYE HATI, VYUMBA VINNE-MBEZI MARAMBA MAWILI.
For Sale / by Mohammed Bakari / 35 views / Popular
Kiwanja SQM.900.
Umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona Tshs.50,000.
(Unalipa MNUNUZI)
Wasilina nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
________________mpg
Ujenzi wa kisasa.
Chumba kimoja ni masta.
Pia Kuna Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani.
Maji ya Dawasco yanapayikana.
Bei Tshs.110 Milioni.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
- Listing ID: 73732