VIWANJA VILIVYOPIMWA KIBAMBA/KIBWEGERE/UBUNGO
Posted 5 months ago by Mohammed Bakari / 117 views / Popular
Ni wastani wa kilomita 5 tu kutoka KIBAMBA CCM/Morogoro Rd.
HUDUMA ZA MAJI NA UMEME ZIPO.
MAJIRANI WALIOJENGA TAYARI WAPO.
________________
Malipo ya dalali ni 10%
Uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
(Unalipa MNUNUZI.
Ukijijua huwezi kunilipa tafadhali usinitafute)
________________
UKUBWA:
SQM. 1271
SQM. 1223
SQM. 1017
SQM. 657
SQM. 1434
SQM. 1833
BEI NI Tshs.25,000/SQM.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
- Listing ID: 51399