VYUMBA VITATU (3)-SEGEREA/UGOMBOLWA.
For Sale / Posted 1 week ago by Mohammed Bakari / 16 views / Popular
Ni wastani wa kilomita moja tu kutoka Segerea mwisho/Kituoni.
Umiliki Mkataba wa mauziano.
_____________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
(Unalipa MNUNUZI)
Wasilina nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________________
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1)
Sebule, Jiko, Dining, Jiko,Store na Choo cha Familia ndani.
Tiles, Gypsum, SlideW.
Parking ya Gari 3.
Maji Safi yanapatikana.
Bei Tshs.70 Milioni.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.
- Listing ID: 60729