Welcome, visitor! [ Register | LoginRSS Feed  |   | 

 

TShs. 15,000

Kitabu kuhusu taaluma ya Uafisa Usalama wa Taifa (Ushushushu)

facebook ad two_opt

Description

Kitabu hiki kinazungumzia kuhusu taaluma ya uafisa usalama wa taifa (ushushushu). Kinaelezea kwa kina kuhusu: uafisa usalama wa taifa ni nini? Afisa usalama wa taifa anafanya nini? Maafisa usalama wa taifa watarajiwa wanapatikanaje; mafunzo yao yakoje, maisha ya afisa usalama wa taifa kazini na mtaani yakoje, na kadhalika. Kitabu hiki hakikiuki kanuni na sheria za nchi na kinaongelea yale tu yanayoruhusiwa kuongelewa hadharani. Mwandishi anajihusisha na sekta ya intelijensia.

Ad Reference ID: 4258003ee9f1816

No Tags

868 total views, 3 today

  

Report problem

Processing your request, Please wait....

Leave a Reply

To inquire about this ad listing, complete the form below to send a message to the ad poster.

Information about the ad poster

  • Listed by: evarist
  • Member Since: October 14, 2016

Other items listed by evarist

  • No other ads by this poster found.
Latest items listed by evarist »

LONELY HEARTS

NEW in DAR! Look for other people like you...Submit your personal profile by clicking here