Welcome, visitor! [ Register | LoginRSS Feed  |   | 

 

 

Mikopo ya haraka kwa watumiaji wa simu za mkononi

 • Type: Offering
 • E-mail: uwekezaji@gmail.com
 • Phone: 0768734611
 • Street: Countrywide
 • City: Other
 • Listed: December 19, 2016 7:11 PM
 • Expires: This ad has expired

Description

Mikopo ya haraka na yenye masharti mepesi kwa watumiaji wa M-PESA na Tigo Pesa. Kopa kuanzia shilingi elfu mbili hadi shilingi milioni sita. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Mikopo itapitia kwenye akaunti yako ya M-PESA au Tigo Pesa baada ya kujisajili. Utaratibu wa kujisajili ni rahisi.

Ad Reference ID: 61358581686ca178

No Tags

13133 total views, 5 today

  

Report problem

Processing your request, Please wait....

72 Responses to “Mikopo ya haraka kwa watumiaji wa simu za mkononi”

 1. Omary Bakari on January 27, 2017 @ 6:57 AM

  Naomba mkopo ili niendeleze biashara yangu.

 2. Salaam, ninahitaji mkopo wa haraka, ni namna gani nitaweza kupata mkopo kutoka kwenu? Na ni vipi kuhusu vigezo na masharti yenu

 3. Indeed loan

 4. Loan

 5. SALOME LEWIN MALEMA on March 22, 2017 @ 5:31 AM

  Naomba mkopo niweze kuikuza biashara yangu ya dawa za kusafishia vyooni na kudekia

 6. Naomba mkopo wawap haraka ili nikuze biashara yangu ya madela na viatu

 7. Ombeni Cassian on June 27, 2017 @ 10:40 AM

  Nahitaji mkopo wa kuendeleza biashara yangu ya duka

 8. ANSELMINA EDGAR MSINDO on June 29, 2017 @ 3:19 PM

  NAOMBA MKOPO WA TSH. 500,000/=, KWA AJILI YA KUONGEZA MTAJI KWA MAREJESHO YA MWEZI MMOJA. NAMBA YANGU 0655969396

 9. Mkopo kwa ajili ya kukuza biashara

 10. Mkopo kwa ajili ya biashara

 11. Naomba mkopo was biashara ili niweze kuongeza matilio ya kushonea seat cover za truck

 12. Nahitaji ajili ya kuongeza mtaji wa biashara

 13. Naomba mkopo ili ukiwezeshe kuendesha biashara yangu

 14. Beatrice Mwakalunde on July 16, 2017 @ 5:03 PM

  Nahitaji Mkopo wa mil moja kwaajili ya kulipia kodi ya Nyumba ,na kuongezea nguvu katika biashara zangu.

 15. Naomba mkopo nikuze biashara yangu

 16. joseif mloba on July 24, 2017 @ 10:41 AM

  My number Is 0755828888 please asign me

 17. Naitaji mkopo WA tsh/laki Tatu kwa ajili kkuza biashara

 18. Magreth timoth kibaya on July 25, 2017 @ 1:02 PM

  Naomba mkopo niongezee vitu dukani kwangu naitwa magreth ni mjasiliamali

 19. Willbard mganga on August 3, 2017 @ 7:46 AM

  Mm ni mjasilia mali
  Naomba mkopo noinue biasharara zangu

 20. David Scott on August 4, 2017 @ 2:41 PM

  Hello,

  Mimi ni Bw David Scott, mwepeshaji wa halali wa fedha. Sisi ni
  Kampuni yenye usaidizi wa kifedha. Tunatoa mkopo kwa watu binafsi
  Haja ya msaada wa kifedha, au unahitaji pesa kulipa bili, kwa
  Uwekezaji kwenye biashara. Tunatoa mkopo kwa kiwango cha 3%, nitafurahi kukupa mkopo. Tuma barua pepe sasa kupitia
  (Davidscottfirm@outlook.com)

  Jina la Mfadhili: ………
  Nchi: ………….
  Kiasi Inahitajika …………
  Muda wa mikopo: …………
  Nambari ya simu………….
  Mapato ya kila mwezi ………..

  Uzidi.
  Bwana David Scott

  • Emmanuel D Bura on August 8, 2017 @ 5:49 PM

   Naomba mkopo Wa 50,000 kwa marehesho ya wiki 4
   Jina la Mfadhili wangu ni Damas Bura
   Niko Tanzania Moshi Kilimanjaro namba yangu ya simu ni 0763379333 ya mpesa namba ninayotumia whasaapzaidi ni Ni 0716018128

  • Naomba mkopo wa kiasi cha shilingi 50000
   Mm ni mtanzania
   Niko Mbeya
   Mfadhili wangu ni Rajabu Jumaa
   Kazi yake Mwalimu
   Mawasiliano take n 0679691293
   Mawasiliano yangu 0754028258
   Kazi yangu Nauza vifaa vya nyumbani
   Kwa mwezi naingiza laki 3

   • seif rashid seif on November 29, 2017 @ 10:31 AM

    naomba mkopo wa Tsh. 50,000/= kwa ajili ya biashara yangu ya uwakala
    mimi ni mtanzania nipo Dar es salaam, kazi yangu ni wakala kwa mwezi napata Tsh. 260,000/= mfadhili wangu ni Rajabu Mpita.
    namba yangu ya simu ni 0762269697.

  • Naomba niongezee mtaji katika biashara yangu ya nguo…………kwamwezi napata faida ya laki mbil na nusu ukitoa matumizi yote…..Jina langu Devotha Masasi naishi Dar es saalam Tanzania mdhamin wangu anaitwa Neema Sajiro namba zangu ni 0752501457,0712240326

  • Naitwa Devotha Masasi
   Naishi Dar es saalam
   Tanzania
   0752501457/0712240326
   Naomba mkopo wa laki tano
   Nikuze biashara yangu ya nguo faida yangu laki mbil kwa mwezi nimetoa matumiz yote
   Mtaji nilionao. Kwasasa n laki mbil tu…….

  • mfadhili wangu ni ester john,nipo Tanzania,nahitaji milioni moja,muda wa miezi sita,nanba 0652421017,mapato ya mwezi laki 3

  • Merina Peter on October 14, 2017 @ 6:21 PM

   Naomba mkopo Wa laki 5 nikuze biashala yangu malejesho kila mwezi nitalipa laki 1

  • Email ya mtandao gani mi naitaji mkopo

  • Fredrick ngunga on November 28, 2017 @ 12:55 AM

   Mimi naomba mkopo kwa ajiri ya kuendeleza biashara yangu na ninaomba mkopo was sh 2000000 /=nitaripa kwa miezi 10

  • Joseph simon Masatu on December 7, 2017 @ 8:16 AM

   Naomba mkopo wa Millioni 3 kwa ajili ya mtaji wa Biashara yangu mpya

 21. Naomba Mkopo Wa haraka ili niweze kuendeleza biashara yangu ya duka

 22. naomba mkopo was shilingi elfu thelathini

 23. edefrida mzeru on August 25, 2017 @ 11:19 PM

  naomba mkopo wa m1 0659193772

 24. mary singine on August 31, 2017 @ 11:02 AM

  Naomba mkopo wa 10000 kwa ajili ya biashara yangu

 25. Naomba mkopo

 26. Naomb mkop walaki sinta

 27. Naomba mnisaidie kiasi cha mkopo wa Tsh 30000 kwa ajili ya kuendeleza biashara yangu ya ushonaji wa cherehani
  Mawasiliano 0754028258

 28. idrisa s abdallah on September 7, 2017 @ 10:19 AM

  naomba mkopo wa shilling
  laki nane nikuze biashara yangu ntakua narejesha kila mwez
  i 800000/=

 29. Naomba mkopo wa kuendeleza biashara

 30. Esther M.Ng'hungubaji on September 13, 2017 @ 10:55 PM

  Naomba mkopo wa tsh.30000kwa ajili ya kukuza biashara yangu

 31. naombeni MKOPO asanteni

 32. Ninaomba mkopo wa Tsh 100000 nitarudisha baada ya mwezi nimalizie ada ya mtoto shule 0754327166

 33. Ninaomba mkopo wa milioni tano kwa ajili ya kuendeleza biashara yangu.Nitakuwa na uwezo wa kurudisha millioni moja kwa mwezi.ahsante 0788588686

 34. Maombi ya kila aina ya mikopo na msaada wa kifedha leo na kupokea mkopo wako ndani ya masaa 24 ijayo. Kwa habari zaidi, wasiliana na: worldfinance1@gmail.com

 35. kwa jina naitwa calivn nilikuwa nashida ya mkopo wa laki tisa kwahajili ya kukuza biashala yagu kwa sasa plz

 36. naomba mkopo ili niweze kuendeleza biashara yangu

 37. nahiji mkopo huu ili uniwezeshe nipanue au nikuze biashara yangu ya mtumba

 38. winne libuma on October 13, 2017 @ 11:31 AM

  Nahitaji mkopo Wa kuendeleza biashara yangu .tsh laki tano naishi dar es salaam.

 39. Naomba mkopo my no 0757581397

 40. kwamajina naitwa CHRISTIAN ALLY NKEMBO ,
  ninaishi MBEYA nikijana wa miaka 20, nifundi mzuri sana wa welding/, ninaomba mkopo wa shiringi milioni moja niongeze mtaji maana ninalengo la kufungua kiwanda kidogo, ndio malengoyangu, ‘kwani pesanilionayo sasa haitoshelezi ata ½ ya malengo
  NINAOMBA MSAADA WENU WA MKOPOO

 41. Stewart Martin on October 20, 2017 @ 12:34 PM

  Habari ya kazi
  Kwa majina naitwa Stewart R Martin najishughulisha na miradi ya kilimo hai na utunzaji wa mazingira. Naomba mkopo wa 3,000,000/= kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa zao la mbegu za CHIA. Marejesho ni baada ya miezi 3.
  Mawasiliano yangu ni 0752746068, 0655746067

 42. Habari ya kazi. Nilikuwa ninaomba makopo wa sh.200,000 kwa ajili ya kukamilisha usajili wa leseni ya stationary

 43. 0675222614

 44. naomba mkopo wa laki moja ili ni kuze biashara yangu. asante

 45. BUSHIRI juma on November 3, 2017 @ 10:25 PM

  Naomba mkopo wa lakitaku kwa ajiri ya kuendeleza biashara yangu ya grosari

 46. Mnatoa mkopo kwa vigezo VIP??naomba jibu tafadhal nahitaji mkopo wa tsh 50000

 47. Naitwa mwl.sunday kakutekeile, naomba mkopo wa laki 5 kulipia lesen yangu ya biashara nitarejesha mwez wa kwamya. mawasiliano0769632538

 48. mimi agnes mlowe naomba mkopo wa kuongeza biashara yangu

 49. jackob mwendamnofu on November 11, 2017 @ 7:11 PM

  Nahitaji mkopo nita wapata vp me namba yangu 0766739187

 50. Norasko chota on November 15, 2017 @ 3:08 PM

  Nahitaji mkopo namba yangu ni 0719021445 nawapataje?

 51. Ninaomba mkopo wa laki moja niongezee kwenye biashara yangu ya duka no. 0712934662

 52. Kwa ajili ya kujiendeleza ki biashara

 53. naombeni mkupo kama laki moja

 54. Mrs Gloria S on November 26, 2017 @ 2:55 PM

  GLORIA S LOAN COMPANY
  Je! Unatafuta mkopo? Tunatoa mikopo iliyoundwa ili kukidhi mahitaji yako ya kifedha na ya kibinafsi Mikopo ya biashara na mpango wa idhini ya idhini ya mkopo. Tunadaipa fedha kwa wale wanaohitaji msaada wa kifedha, tunatoa mikopo kwa watu ambao wana mkopo mbaya au wanahitaji pesa kulipa bili, kuwekeza katika biashara hii. Huna haja ya kuwa na wasiwasi, kwa sababu uko katika mahali pazuri, GLORIA S LOAN COMPANY kutoa mkopo kwa kiwango cha chini cha riba ya 2%, hivyo ikiwa unahitaji mkopo, nataka unagusana na GLORIA S LOAN COMPANYc gloriasloancompany @ gmail .com / Idadi Whataspp: + 1 (267) 527-9742
  MAFUNZO YA KAZI YA KAZI:
  1) Jina kamili: …………
  2) Jinsia: ……………..
  3) Umri: ……………………
  4) Nchi: ……………..
  5) Nambari ya Simu: ……..
  6) Ayubu: …………..
  7) Mapato: ……
  8) Kiasi cha Mkopo kinatakiwa: …..
  9) Muda wa mikopo: ……………
  10) Sababu ya mkopo: ………..
  11) Umeomba na kukataliwa? Ikiwa hivyo ……..

 55. Nataka nifanyie biashala

 56. 0757448004

 57. Dorothea Mulambo on December 3, 2017 @ 1:21 PM

  Naomba mkopo wa m3 kwa ajili ya kumalizia Nyumba yangu ya kupangisha nitalejesha kila mwisho wa mwezi

Leave a Reply

To inquire about this ad listing, complete the form below to send a message to the ad poster.

Information about the ad poster

 • Listed by: uwekezaji
 • Member Since: December 19, 2016

Other items listed by uwekezaji

 • No other ads by this poster found.
Latest items listed by uwekezaji »

LONELY HEARTS

NEW in DAR! Look for other people like you...Submit your personal profile by clicking here