Welcome, visitor! [ Register | LoginRSS Feed  |   | 

 

LOCAL CONTR.

PROGRAMU WEZESHA WAJASIRIAMALI (PROWEZA)

Description

PROGRAMU WEZESHA WAJASIRIAMALI (PROWEZA)
WITH FREE COMPUTER

Kwa ufadhili wa The United States Foundations Consortium (USFC),Taasisi ya Teknologia ya Afrika (AIT) kwa kushirikiana na Webpesa na Venchamax inakuwezesha kwa mafunzo,vifaa,huduma, na ushauri kwa ajili ya kuanzisha, kukuza na kupanua biashara yako pamoja na kuipeleka mtandaoni(intaneti) na kiganjani kwa mteja (smartphone )

Programu Wezesha Wajasiriamali inakupatia yafuatayo kwa kuchangia gharama kidogo
1. Komputa/Computer
2. Mafunzo ya Komputa/ICT
3. Website ya mfano www.dukalangu.com
4. Maelekezo kuandaa Andiko Biashara(Business Plan)
5. Maelekezo kuandaa Andiko Mradi(Project Proposal)
6. Kuandaliwa Mkakati wa kutangaza biashara yako(Strategic Marketing Plan)
7. Ushauri wa kimkakati wa kutambilisha biashara yako(Strategic Branding)
8. Ushauri wa kuanzisha/kuendeleza kampuni/biashara yako
9. Ushauri wa kuacha kazi kwa mpango ili kuanzisha biashara yako(Strategic Employment Exit Plan-SEEP)
10. Software ya kutunza hesabu zako(Accounting Software Package)
11. Kuandaliwa live E-Social Media Business Pages
12. Mafunzo ya kuandaa Zabuni za serikali zenye viwango(Responsive Government Tender Document(s)Preparation
13. Mafunzo ya ukusanyaji rasilimali fedha(Resources Mobilization/Grant Making)
14. Kusajili biashara au kampuni yako ndani ya saa moja.
15. Huduma ya SMSXpress kutuma “bulk sms” kwa wateja wako
16. Huduma ya MagicEmail Software kutuma “bulk emails” kwa wateja wako
17. Mafunzo ya Ujasiriamal(Entrepreneurship)-Kujitambua wewe ni Mjasiriamali,Mfanyabiashara au si vyote?
18. DVD Kujifunza Kiingereza/Business English
19. Mafunzo,ushauri,na uwezeshwaji wa kufugaji wa kuku-KukuPesa,
20. Mafunzo,ushauri, na uwezeshwaji wa kufugaji wa samaki- SamakiPesa,
21. Mafunzo ya kilimo cha muda mfupi-KilimoPesa
22. Kushiriki kama mwanahisa chombo maalum cha kibenki cha Wajasiriamali(National Entrepreneurs Financial Institution)

Karibu ofisini kwetu Kinondoni karibu na Open University
Simu: 0784 220 877,0715 220 877,0622
Email: nnicholaski@gmail.com davypoll@yahoo.com

Ad Reference ID: 70957cff4d9e2d03

No Tags

374 total views, 4 today

  

Report problem

Processing your request, Please wait....

Verified user

Leave a Reply

To inquire about this ad listing, complete the form below to send a message to the ad poster.

LONELY HEARTS

NEW in DAR! Look for other people like you...Submit your personal profile by clicking here