CATAUX COMPUTER REPAIR SHOP IN DAR ES SALAAM

1 of
Previous Next

Ad Details

Description

Cataux tunawapongeza wote hasa wewe mteja wetu kwa kuingia mwaka huu wa 2018 ukiwa salama na mwenye Amani na furaha tele. Nasi kwa kuwa tunatambua uthamani wako tutaendelea kukuhudumia kwa kiwango cha hali ya juu kwa kujali uthamani wako ulio nao kwetu.
Huduma za Kutoa Elimu kupitia Makala mbalimbali inaendelea, pia tutazidi kutoa huduma zetu mbalimbali kama;
1. Kupata joto(temperature)
2. Kuharibika kwa Ubao Mama (Motherboard)
3. Kompyuta kuwa nzito
4. Kuvunjika kiio/kuharibika
5. Kufa/kuharibika kwa betri
6. Kuharibika kwa Keyboard.
7. Kuingiliwa na Virus (Virus attacks)
8. Kuharibika kwa bawaba.
9. Tatizo la internet kwenye Kompyuta Internet and email issues fixed.)
10. Kuharibu mfumo wa Utendaji wa Kompyuta (Operating System corrupt- Window corrupt).
11. Kuharibika kwa Mlango wa Kuingiza CD/DVD.
12. RAM, Processor. Kuharibika/kupungua uwezo wa kutenda kazi kwa ufanisi
13. HDD Kujaa au kuharibika, pia inaweza kusababisha Kompyuta kushindwa kufanya kazi.
14. Kushindwa kufanya kazi kwa baadhi ya “software” kwenye Kompyuta. (Un updated
software).

Pia tunauza vifaa vya Kompyuta “ACCESSORIES” pamoja na pia kuuza Kompyuta.
TUPO DAR ES SALAAM, MWENGE STAND YA ZAMANI.
Pia Tembelea Ukurasa Wetu wa facebook.
https://www.facebook.com/catauxcomputers/

Tags :