EKA 44 SHAMBA BAGAMOYO

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 279952

  • Added: May 2, 2017

  • Sale Price: TShs. 2.2 mil./eka

  • Regular Price: TShs. 2.2 mil./eka

  • Phone: 0625836570

  • Views: 1718

Description

Nauza shamba lipo eneo la Kulwi Fukayosi, Bagamoyo. Ukubwa wa eka 44. Shamba lipo 4 km toka barabara kuu ya Bagamoyo-Msata. Eneo limezungushiwa uzio wa fensi na ndani kuna kisima kirefu, nyumba ya mlinzi, miembe. Umeme na maji unapatikana.
Bei nafuu na mazungumzo yapo. Bei ni TShs. 2.2 mil. kwa eka moja.

Tags :