KIWANJA MUJARABU KANDO YA BARABARA YA GOBA MADALE

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 271489

  • Added: February 16, 2017

  • Sale Price: TShs. 40 mil.

  • Regular Price: TShs. 40 mil.

  • Phone: 0713480118

  • Views: 2218

Description

Kiwanja kikubwa na tambarare chenye square mita 1000, kiko mita mia sita toka Goba njia nne kando ya barabara ya goba kwenda madale (Siku hizi wanasema barabara unaiona mubashara toka kilipo kiwanja).

barabara iko kwenye mpanago wa TANROADS wa kuwekwa lami kabla ya mwaka kuisha na wakandarasi wa mradi wameshakagua na hatua za awali za utekelezaji kuanza soon.

kiwanja kinafaa kwa makazi au biashara (kujenga frame, kufungua restaurant, bar etc).

kwa maelezo zaidi piga namba….0713480118.

Tags :