NYUMBA YA KISASA SAFIII INAUZWA-CHAMAZI

1 of
Previous Next

Ad Details

  • Ad ID: 314888

  • Added: December 3, 2017

  • Sale Price: TShs. 27 mil.

  • Regular Price: TShs. 27 mil.

  • Phone: +255718515321/+255759694551

  • Views: 2033

Description

Mzigo mwengine huu wa nyumba ya kisasa kabisaa.

1…NYUMBA KUBWA NA YA KISASA KATIKA KIWANJA CHA UKUBWA WA 500sqm
2…VYUMBA VITATU (kimoja MASTER BEDROOM)
3…SEBULE KUBWAAA
4…JIKO, CHOO, STORE
5…GARI INAFIKA MPAKA NYUMBANI
6…BADO FINISHING TU (rangi yako uipendayo na urembo uupendao)
7… IPO KWENYE MTAA
8…IPO CHAMAZI SEHEMU RAHISI KWA KUPATA GARI ZA GEREZANI, KIVUKONI, TEMEKE, TANDIKA
8….KUTOKA BARABARA KUU DAKIKA 5 KWA MWENDO WA MIGUU
9…BEI SAWA NA BUREEE

maelezo zaidi wasiliana nami;
0718515321
0759694551

Tags :