Tunanunua vitabu vya zamani (old and rare books)

Ad Details

  • Ad ID: 313521

  • Added: March 30, 2018

  • Sale Price: top money

  • Regular Price: top money

  • Phone: 0786817145

  • Views: 1682

Description

Tunanunua vitabu vya zamani.

1. Viwe kwa lugha ya kiingereza vilivyochapishwa Marekani au Uingereza miaka ya 1970 kurudi nyuma.
2. Viwe ni toleo la kwanza (first edition)
2. Visiwe vitabu vya taaluma kama Physics, Chemistry Biology, Engineering n.k bali tunahitaji vitabu vya hadithi, ushairi, masimulizi ya kweli, vitabu vya watoto…….n.k
3. Viwe katika hali nzuri na kurasa zote pamoja na jalada la nje (cover).

Tuma title ya kitabu, mwandishi, mchapaji na mwaka wa toleo la kwanza kwa sms: 0786817145 au 0768734611. Unaweza pia kutuma picha kwa whatsapp kwenda 0768734611

Utasubiri tufanye tathmini (evaluation) kisha utajulishwa kama tutanunua kitabu chako na bei yake.